PICHA 50 ::YALIYOJIRI KATIKA SABATO YA MUZIKI KIMANGA SDA CHURCH
PICHA 50 ::YALIYOJIRI KATIKA SABATO YA MUZIKI KIMANGA SDA CHURCH
Kama matangazo yalivyosambaa hapo awali jumamosi hii iliyopita katika kanisa la waadventista wasabato kimanga kulikuwa na tamasha la uimbaji ambapo waimbaji mbalimbali ,kwaya,vikundi vilialikwa .Tamasha lilichukua takribani masaa 10 yani kuanzia asubuhi mpaka jioni.
kwaya zilizoalikwa ni
MLIMANI SDA CHOIR
KISUKURU SDA CHOR
KIMANGA SDA CHOIR
MBIU SDA CHOIR
TEMEKE SDA CHOIR
PUGU SDA CHOIR
SEGEREA SDA CHOIR
Pamoja na waimbaji binafsi
Msanii wa Hip pop Tanzania Chid benzi pamoja na mke wake nao walihudhuria siku hii |
MAOMBI PIA YALITAWALA |
KISUKURU SDA CHOR |
TEMEKE SDA CHOIR |
KIMANGA SDA CHOIR |
ZAWADI KWA PASTOR WA MTAA PAMOJA NA MKEWE
PASTOR WA MTAA PAMOJA NA MKEWE |
VYETI VYA SHUKRANI VILIGAWIWA PIA
ASANTE KWA KUFUATILIA UKURASA WETU
fuatilia vipindi vyetu kila wiki bonyeza picha ya kipindi kuangalia kipindi cha wiki hii
Maoni
Chapisha Maoni
THANKS FOR COMMENTING
Name:
Where are you comming from:
Mobile no.:
Comment: