MFAHAMU KIJANA ALIYEIGIZA MOVIE YA YESU AFUNGUKA

         "MIMI SIO KRISTO" KIJANA ALIYEIGIZA MOVIE YA YESU AFUNGUKA


Image result for BRIAN DEACON BEHIND THE SCENE JESUSOKEY kama epho leo tunaakuletea mwigizaji ambaye ameteka sana hisia za watu baada ya kuigiza movie ya kristo na watu wamejenga imani kuwa yeye ndiye kristo,hata hivyo mwigizaji huyo ameeleza historia yake na kusema kuwa anashangaa sana watu wanaoweka picha za sura yake katika nyumba zao huku wakiandika maneno ya kumsifu ,huku wengine wakiamini yeye hufanya miujiza na kusahau kuwa naye ni binadamu ila alikuwa akitaka kuwasilisha ukuu wa mungu kwa njia ya filamu kama zilivyo nyingine huyu anaitwa BRIAN DEACON

, Mjue "BRIAN DEACON", muigizaji maarufu Duniani aliyeigiza filamu ya YESU (Jesus). Alizaliwa 13 February 1946 huko OXFORD Uingereza ( UK). Alijifunza sanaa katika chuo cha OXFORD YOUTH THEATRE. Amecheza filamu mbalimbali ikiwemo THE TRIPLE ECHO mwaka 1972, na mwaka 1974 alicheza filamu inayofahamika kama VAMPYRES. Nguli huyo wa filamu October 19, 1979 alitoa filamu ambayo ilikuwa gumzo dunia nzima, filamu iliyompa heshma na umaaruku mkubwa sana. "Filamu ya YESU (JESUS)".Filamu hii ilivuta hisia za watu wengi duniani kote, filamu iliyovuta hisia za watu na pengine hata kuamini au kuhisi kuwa taswira ile ndiyo muonekano halisi wa Yesu. Hii ni kutokana na jinsi alivyovaa uhusika (character). Uandaaji wa filamu ya Yesu uligharimu Dola za kimarekani Milioni sita (UDS 6 Ml). Na mwaka 1985 alicheza filamu ya A ZED AND TWO NOUGHTS. Baada ya hapo Kanisa lilimlipa pesa nyingi sana ili asicheze filamu zingine tofauti na ile ya Yesu ili kulinda imani na uhusika wa sura yake iliyosadikiwa na watu wengi kuwa ndiye sura iliyobeba maudhui ya Yesu(aliyesimama upande wa kushoto)
                           Image may contain: 1 person, standing
ANGALIA PART ONE HAPO JUU THEN PART TWO IPO CHINI                                       


Maoni

Machapisho Maarufu