KANISA LATOA TAMKO JUU YA KADI YA MWALIKO WA CHRISTMAS ILIYOSAMBAA



UTATA JUU YA KADI YA MWALIKO WA SIKUKUU YA CHRISTMAS KUTOKA KATIKA OFISI KUU YA WAADVENTISTA WASABATO




Kadi ambayo ilisambazwa katika mitandao ya kijamii na kuzua utata juu ya suala la waadventista katika habari ya sikukuu ya christmas

BAADA YA WATU KUWA NA MAWAZO HASI KATIKA HILI HATIMAYE OFISI KUU YA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO LIMETOA TOLEO HILI HAPA CHINI NA KUFAFANUA KUHUSU ILE KADI




Dhumuni la kadi hizi sio kuhararisha sikukuu ya christmas kusheherekewa na waadventista ila kama jamii ni kawaida kutakiana sikukuu njema ,Hebu tulione katika mtazamo chanya,nimependa sana maneno ya mchungaji Malekana .Na napenda kuipongeza ofisi yake maana wameliona jambo hili ambalo lilikuwa gumzo kwa watu wengi Mungu awabariki katika kazi zao,lakini mungu akubariki ewe msomaji na mfuatiliaji wa Epho Gospel Tv Blog
                  TUSOME MAANDIKO TUPATE MAARIFA TUACHE MAWAZO HASI


Maoni

Machapisho Maarufu