GETHSEMANE BROTHERS WALIPOTOKA HADI SASA

TAZAMA PICHA HII GETHSEMANE BROTHERS WALIPOTOKA HADI HIVI SASA WALIPOFIKIA

NI JAMBO JEMA SANA NA LA KUMSHUKURU MUNGU KWA VIJANA HAWA TOKA WALIPO IANZA SAFARI HII YA UIMBAJI WA NJIA YA ACAPELLA KWA AJILI YA KUMTUMIKIA MUNGU HADI LEO HII WALIPOFIKIA KUACHIA VIDEO YAO IITWAYO NISHIKE MKONO HAKIKA INAPENDEZA ZAIDI

Maoni

Machapisho Maarufu