UIMBAJI RAHA SANA TAZAMA HII YA HARUSINI

TAZAMA WAIMBAJI WA KIKUNDI CHA VOCAPELLA WAKIIMBA KATIKA HARUSI HAKIKA NI RAHA SANA

Ni mibaraka ya mungu kwa watu wake kupitia uimbaji wakizidi kubarikiwa na maneno/mashairi mazuri ya kuwapa nguvu katika safari yao ya ndoa takatifu, hakika mungu ni mwema na tutazidi kumwimbia kama tutakavyoimba mbinguni       

Maoni

Machapisho Maarufu