PICHA ZA YALIYOJIRI KATIKA GRADUATION YA MWANADADA DORICE SAYO

MWIMBAJI MAAFURU WA NYIMBO ZA INJILI DORISI SAYO AHITIMU DEGREE YA KWANZA

Ama kweli ukimtegemea mungu ,mengine yote utaongezewa,haya ni maneno ambayo yanadhihirishwa na tukio la mwanadada dorice sayo,amekuwa akizunguka katika matukio mbalimbali akimuimbia bwana lakini bado alikuwa anatakiwa asome kwa ajili ya elimu yake,mwanadada dorice sayo amemaliza na amehitimu elimu yake ya juu yani degree ya kwanza katika chuo cha IFM angalia matukio katika picha hizi




Maoni

Machapisho Maarufu