JUMAPILI HII ITAPENDEZA ZAIDI NEW ACAPELLA VIDEO FROM GETHSEMANE BROTHERS TZ

KAA TAYARI KWA VIDEO MPYA KUTOKA KWA KIKUNDI CHA GETHSEMANE BROTHERS

Pale furaha inapotanda kwa mtu yoyote ambaye anapenda kazi ya Mungu ieenee kwa kasi,

vijana wa kundi la Gethsemane brothers wamejipanga kuhusu hili ,Baada ya kutoa cd yao ya kwanza ya audio yenye jumla ya nyimbo 9  sasa wanakuja na video ya mmoja wa nyimbo walizorecord kaa tayari kwa ujio huu wa vijana hawa

KARIBU KATIKA UKURASA HUU TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII
YOUTUBE-EPHO GOSPEL TV
FACEBOOK-EPHO GOSPEL TV
ASANTE




Maoni

Machapisho Maarufu