VIDEO YA SIKU -NYARUGUSU YOUTH CHOIR ,

       WANANGU YASIKILIZENI -VIDEO OF THE DAY

.Download now a song from Nyarugusu Youth choir 

    
Ni vijana waliojulikana sana katika kipindi hiki cha mwaka huu na hii ni kutokana na style ya uimbaji wao wa kiana ya kipekee kwa kweli wanapendeza na wanaimba uimbaji ambao unavutia sana .kumbuka...Nyarugusu sda choir .walipata kufahamika sana. Ndani na nje ya Tanzania baada ya kupata nafasi ya kupata nafasi ya kuimba katika mikutano ya ushindi hatimaye 
Angalia video yao lakini waweza kuipakua 


Download sasa video yao ya  wanangu yasikilizeni.  Bonyeza.  Hapa 

Tupatie chaguo lako la siku kwa wimbo uupendao

Imeandaliwa na 
Jackson Julius
0654163338






Maoni

Machapisho Maarufu