+VIDEO MPYA, UMARIDADI WA KUNDI LA INZAMBA, VIDEO YAO YESU APITA HAPA

          Ni Moja ya kikundi maarufu cha uimbaji wa Accapela INZAMBA kutoka kanisa la waadventista wasabato YOMBO DOVYA ambao wamekua wakibariki watu mbalimbali kwa namna ya uimbaji wao wa kipekee, ambapo wameshiriki katika mialiko mbalimbali ya ndani ya nchi ya Tanzania na nje ya Tanzania wakiwabariki watu kwa uimbaji wao mzuri.
      Pia Kundi la INZAMBA lina malengo makubwa ambayo baadhi Yake ni kukuza vipaji ambapo wameweza kuanzisha kundi la vijana wadogo waitwao INZAMBA JUNIOR ambao pia wameendelea kuifanya kazi ya injili, pia Wana Lengo la kua na studio yao ambapo wameweza kununua baadhi ya vifaa vya studio. Huo ndio umaridadi wa kundi la INZAMBA na kazi ya utume wanayoifanya. Tuzidi kuwaombea wafike mbali zaidi na Mungu apate kuwasimamia
       Unaweza kutazama video yao ya wimbo uitwao YESU APITA HAPA bonyeza alama ya play 
THANKS FOR WATCHING MR ADOBE TV
STAY TUNE.....may God be with you        😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱

 CONTACT US


(+255) 654 16 33 38 MR ADOBE 

(+255) 674 34 44 36 MR AGROB 

Maoni

Machapisho Maarufu