UNGANA PAMOJA NA MWANDISHI RACHEL KUTOKEA MAKAMBI TABORA

PATA KUSIKIA KWAYA YA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO KIMANGA WALIOPO TABORA

hakika ni jambo la kumshukuru mungu kwa safari ndefu na mpaka kufikia katika kambi hili Tabora 
pata kuona picha za matukio mbalimbali pamoja na video mwandishi wetu Rachel Martin ambaye yupobhuko mahsusi kutuhabarisha siku hadi siku 











bonyeza alama ya play kuweza kuiona interview ya waimbaji wa kwaya ya kimanga mubashara kabisa kutoka tabora


mungu akubariki endelea kufuatilia mr adobe tv 
mwandishi wako rachel amejipanga kukuletea yote yatakayojiri siku baada ya siku

Maoni

Machapisho Maarufu