PICHA ZA MATUKIO KATIKA MAKAMBI

MAKAMBI MAKAMBI MTAA WA TEMEKE

Mhutubu mkuu:Pr.Njuguri kutokea nchini Kenya
Motto: Jiandae kukutana na mungu wako
Fungu kuu: Math 25:13

Injili inaendelea kupigwa ,shetani aendelea kudondoshwa chini ,ni msimu wa makambi leo tumekuja na taarifa hii fupi kutoka katika makambi mtaa wa ilala,wakiwa na ugeni wa pastor aliyetokea nchini Kenya,

Kwaya ngeni

Kwaya kutoka nchini Malawi 
Kwaya ya waadventista wasabato Temeke
Kwaya ya waadventista wasabato Keko

Tazama picha matukio kutokea ilala
Na .mwandishi wako Emanuel






Washiriki wakiwa kambini

Kwaya ya waadventista wasabato Temeke



Imeletwa kwako na mr adobe tv kupitia mwandishi wake mr Emanuel





Maoni

Machapisho Maarufu