MOTO WAENDELEA KUWASHWA TABORA. NI MAKAMBI HAYO

    RACHEL MARTIN AKIENDELEA NA HUDUMA YA MAHOJIANO NA WASHIRIKI HUKO TABORA

Naitwa Rachel ni mmoja ya waandishi wa
Mr adobe tv kama nilivyoahidi kukuletea kila linalotokea katika makambi ya mtaa wa Tabora
hakika ni jambo la kumshukuru mungu sana katika kambi hili tazama video ambayo nimejaribu kufanya mahojiano na baadhi ya wanakwaya wa kitete 



ENDELEA KUFUATILIA MR ADOBE TV...........

Maoni

Machapisho Maarufu