MAKAMBI MTAA WA KITUNDA HAYA HAPA

      ANGALIA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI

-je wajua kama sonda ya dhilu  ndani ,kwaya ya kitunda,yani safi saana 

Tukumbuke msimu huu wa makambi. Makanisa mengi yamefanya ,lakini sasa ni wiki ambayo mtaa wa kitunda wanaendelea kumdondosha shetani  ,angalia sasa picha za matukio mbalimbali  yanayoendelea katika makambi hayo





Maoni

Machapisho Maarufu