KUA NA SAUTI NZURI YA KUIMBA KWA NAMNA YA UPIGAJI MSWAKI.
Awali ya yote napenda kukukaribisha msomaji wa MR ADOBE BLOG katika somo letu la leo.
Somo la mziki /uimbaji ni somo Pana sana na leo tutajifunza Juu ya umhimu na namna ya kupiga mswaki kwa mwimbaji, waimbaji wengi sauti zao huharibika kutokana na kuto kupiga mswaki kwa ufasaha ambapo huzuiwa na makohozi yaliyoko kooni.
ZIFUATAZO NI HATUA ZA KUPIGA MSWAKI KWA MWIMBAJI
ZIFUATAZO NI HATUA ZA KUPIGA MSWAKI KWA MWIMBAJI
- Chukua mswaki na dawa hakikisha dawa inajaa sehem ya mswaki,
- Anza kusugua meno yako bila ya kuweka/kutia maji katika mswaki pia kumbuka (kitaaramu dawa huanza kufanya kazi mwilini baada ya dakika tano) hivyo unatakiwa usugue meno yako zaidi ya dakika 5 na bila kutema dawa
- Ukiwa unapiga mswaki hakikisha unafikisha mswaki wako kooni na kujaribu kutoa makohozi mpaka ujisikikie hali ya kutaka kutapika.
- Baada ya zile dakika tano za kupiga mswaki Bila maji sasa anza kutumia maji ukisafisha Ile dawa na yale makohozi hakikisha kinywa kinakua safi.
- Baada ya hapo utajisikia kiu cha maji, nenda kanywe maji safi lita 1 na utaona matokeo ya kujisikia Amani na furaha, fanya hivyo kila siku na baada ya juma moja utaanza kuona matokeo ya sauti yako.
CONTACT US
(+255) 654 16 33 38 MR ADOBE
(+255) 674 34 44 36 MR AGROB
Maoni
Chapisha Maoni
THANKS FOR COMMENTING
Name:
Where are you comming from:
Mobile no.:
Comment: