JE WAJUA

   JE WAJUA JA KAMA HUJUI HUU NDIO MUDA HALISI WA KUJUA 


Je wajua kama hujui ngoja nikujuze kuwa UIMBAJI UNAKUFANYA USIZEEKE.
Watafiti wamechunguza na kuona kuwa mwimbaji yoyote wa muziki anayefuata njia za kua mwimbaji bora kwa sababu                                                              moja ya njia zinazofanya mwimbaji awe na sauti nzuri ni pamoja na mazoezi ya kutafuta pumzi nayo ni kama                                                         
kukimbia,na mazoezi mengine hivo utaufanya mwili wako kuwa active



>>>Lakini pia mwimbaji yoyote ambaye ana malengo na kufika katika viwango vikubwa vya uimbaji huwa atumii vyakula vya baridi na kemikali

Naamini mpenzi msomaji umeelewa na umejua  maana hii kuwa
UIMBAJI UNAKUFANYA USIZEEKE

IMELETWA NA 
Rachel Martin
MR ADOBE TV


Maoni

Machapisho Maarufu