WATOTO WANAOTAKA KUWAPIKU SONDA YA DHILU...HAWA HAPA... NI BALAA!!!!

      NI BALAA YANI MPAKA BASS WANAIMBA VILEVILE - NAAMANI COVER 

Watoto wa shule ya msingi ya kongowe ya inayolelewa kwa maadili ya kanisa la waadventista wasabato.. 
walipowashangaza watu katika mahubiri ya tmi baada ya kuimba wimbo wa sonda ya dhilu huku wakijiamini ipo siku watawafikia sonda ya dhilu 
bonyeza play kuwaangalia


"mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"

Maoni

Machapisho Maarufu