VIDEO MPYA KUTOKA KWA VIJANA WA AMBASADOR ILALA

NIUMBE UPYA NI MOJA YA MANENO YAPATIKANAYO KATIKA WIMBO HUO MPYA 


baada ya kutoa video yao ya kwanza sasa ambasador ilala wanakuja na kichupa kipya yani ni bonge la video kama mr adobe tv tunapenda kuwapongeza viongozi wa kanisa hilo kwa kuwalea vijana na kufanikisha kazi hii 
bonyeza kuiona usitake kusimuliwa






hiii ni video yao ya kwanza "je umewahi sikia"



Maoni

Machapisho Maarufu