KWA STYLE HII AISEE SONDA YA DHILU MUENDE MBALI

KWA STYLE HII AISEE SONDA YA DHILU MUENDE MBALI 


Sio wengine ni walewale vijana wa kundi la masauti yaliyojaa utukufu nyota ya asubuhi ama kwa hakika ni wale wanaotumia jina la kisukuma yani sonda ya dhilu ,angalia jinsi wanavyotawala jukwaa
Endelea kufatilia mr adobe TV
Pia kwa waimbaji wenye nyimbo mpya hapa ni mahali sahihi kabisa 

Maoni

Machapisho Maarufu