JORDAN FAMILY WAIMBA KITSWANA -LIVE PERFOMANCE (kaps)

"TATANA AKUDUMBA" WIMBO WA LUGHA YA BOTSWANA  UKIIMBWA NA JORDAN FAMILY

jordan family tz on stage (live perfomance)
vijana wa kundi la acapella la jordan family wamewashangaza watu baada ya kuja kivingine ni acapella ya lugha ya kibotswana iliyotungwa na mmoja wa waimbaji wa kundi hilo Michael Placidius
wenye jina la "Tatana" 
bonyeza kuona video hii

wimbo huo wenye lugha mbili pamoja na kiingereza uliwafurahisha sana washiriki kama mr adobe tv tunapenda kuwapongeza jordan family kwa ubunifu huu.

Maoni

Machapisho Maarufu