DVD MPYA KUTOKA KWA GONGO LA MBOTO SDA CHOIR

                 JE WAJUA???

tarehe 30 mwezi wa 7 mwaka 2017 kwaya ya kanisa la waadventista wasabato watazindua dvd yao mpya ya cd ya mwonekano

ni kwaya kutoka Gongo la. mboto SDA,usipange kukosa.



mwalimu wa kwaya hiyo anapenda Kukukaribisha wewe unayesoma Katika siku hiyo maalum kabisa

THE GREAT GONGO LA MBOTO CHOIR
      bonyeza kuangalia moja ya video zao za awali wakiimba live


ENDELEA KUFATILIA MR ADOBE TV MUNGU AKUBALIKI

Maoni

Machapisho Maarufu