Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Kilichoangaziwa

PICHA 50 ::YALIYOJIRI KATIKA SABATO YA MUZIKI KIMANGA SDA CHURCH

  PICHA 50 ::YALIYOJIRI KATIKA SABATO YA MUZIKI KIMANGA SDA CHURCH Kama matangazo yalivyosambaa hapo awali jumamosi hii iliyopita katika kanisa la waadventista wasabato kimanga kulikuwa na tamasha la uimbaji ambapo waimbaji mbalimbali ,kwaya,vikundi vilialikwa  .Tamasha lilichukua takribani masaa 10 yani kuanzia asubuhi mpaka jioni. kwaya zilizoalikwa  ni MLIMANI SDA CHOIR KISUKURU SDA CHOR KIMANGA SDA CHOIR MBIU SDA CHOIR TEMEKE SDA CHOIR PUGU SDA CHOIR SEGEREA SDA CHOIR   Pamoja na waimbaji binafsi :::>:::::: TAZAMA PICHA ZA MATUKIO YALIYOJIRI PASTOR WA MTAA WA KIMANGA PR.MAOTOLA LUMBE Msanii wa Hip pop Tanzania Chid benzi pamoja na mke wake  nao walihudhuria siku hii MAOMBI PIA YALITAWALA KISUKURU SDA CHOR TEMEKE SDA CHOIR KIMANGA SDA CHOIR ZAWADI KWA PASTOR WA MTAA PAMOJA NA MKEWE  PASTOR W...

Machapisho Mapya Zaidi